Dark
Light

Tanzania

Latest

Mkutano wa Baraza La Mawaziri EAC Waanza Leo

June 3, 2024
Mkutano 33 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri linaloshughulikia masuala ya Afrika Mashariki na Mipango umeanza leo tarehe 3 Juni 2024 jijini Arusha. Mkutano huo wa siku tano kuanzia Juni 3-7, 2024 umeanza kwa Ngazi ya Wataalam na baadaye utafuatiwa na Ngazi

The Heat Continues To Kill People In India

June 3, 2024
More than 50 people have died in India in the past three days as the country continues to grapple with a heatwave. Approximately 33 people died in the northern state of Uttar Pradesh over the weekend due to the heat. In the

Mbappe Na Madrid Mambo BulBul

June 3, 2024
Uhamisho wa mchezaji wa timu ya PSG ya Nchini Ufaransa Kuelekea Real Madrid ya nchini uhispania limekamilika na muda wowote kuanzia sasa mchezaji huyo nyota wa kutoka nchini ufaransa atatangazwa kama mchezaji mpya wa miamba hiyo kutoka uhispania. Tetesi zinaeleza yakuwa mchezaji

Ramaphosa Calls For Consensus After Election Deadlock.

June 3, 2024
President Cyril Ramaphosa urged South Africa’s political parties to bridge their gaps and establish a “common ground” to establish the country’s first national coalition government in its young democracy. His remarks followed the announcement of final election results, revealing that no party

Bodi Ya Maziwa Yapewa Maagizo Na Serikali

June 3, 2024
Serikali imeiagiza Bodi ya Maziwa Nchini kujadili kwa haraka na kutatua tatizo la vifungashio vya maziwa vinavyofanya bei ya maziwa kuwa juu na kufanya wananchi kushindwa kumudu bei hivyo kuongeza hali ya udumavu kwa watoto nchini. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri

Premier Graces Chato Landing Site Construction

June 3, 2024
Prime Minister Kassim Majaliwa has laid the foundation stone for a landing site and fish market construction in Chato district, Geita region. The projects aim to enhance the local economy, with a focus on involving fishermen and farmers in development plans. During

Wataalam Wapanga Mikakati Sekta ya Posta

June 3, 2024
Wataalam kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) wametakiwa kuandaa mikakati madhubuti ya kukabiliana na changamoto zinazokabili sekta ya posta. Wito huu umetolewa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dk. Mzee Suleiman Mndewa, wakati wa
1 531 532 533 534 535 697