Dark
Light

Tanzania

Latest

Majaliwa Akutana na Wafanyabiashara Kuhusu Kodi

June 26, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, katika jitihada za kutatua changamoto za kodi zinazowakabili wafanyabiashara. Kikao hicho kimefanyika siku ya tatu tangu wafanyabiashara hao walipofunga maduka yao, wakilalamikia mzigo mkubwa wa

Tanzania Yashika Nafasi ya 5 Duniani Kuvutia Watalii

June 26, 2024
Tanzania imeweka historia ya kipekee katika sekta ya utalii kwa kushika nafasi ya 5 kimataifa kwa kuwavutia watalii zaidi, kulingana na takwimu za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kwa kipindi cha miezi ya Januari hadi Machi 2024. Taifa hili pia limepata

Hifadhi ya Mpanga Kipengere yagawa Ekari 52,877

June 26, 2024
Hifadhi ya Mpanga Kipengere imechukua hatua muhimu kwa kugawa ekari 52,877.602 kwa vijiji vinavyoizunguka, ikiwa ni juhudi za kutatua migogoro ya mpaka kwenye eneo hilo. Hatua hii imefanyika baada ya mchakato wa kina ulioongozwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ushirikiano

Mwenyekiti: Wafanyabiashara Kariakoo Wafungue Maduka

June 26, 2024
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Kariakoo, Bw. Martin Mbwana, ametoa wito kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao huku wakisubiri suluhisho la mwisho kutoka kwa Serikali kuhusu madai yao. Kauli hii imekuja baada ya siku tatu za mgomo wa wafanyabiashara katika eneo hilo. Akizungumza

KDF Yatinga Ikulu ya Nakuru kulinda Maandamano.

June 26, 2024
Katika tukio la kushangaza, Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limepelekwa kulinda Ikulu ya Nakuru kufuatia maandamano makali dhidi ya Mswada wa Fedha wa 2024. Mswada huo, ambao unapendekeza kodi mpya kadhaa, umeibua ghasia kote nchini, na kusababisha mapambano kati ya waandamanaji
1 502 503 504 505 506 697