Dark
Light

Tanzania - Page 321

Dkt. Biteko Asisitiza Sekta Ya Kilimo Iwe Kimbilio

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanapaswa kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuinua uchumi wa nchi na kuboresha maisha yao. Dkt. Biteko amesema hayo leo wakati akimwakilisha Rais
April 8, 2024

Wanaosimamia Ujenzi Barabara Ya Kibaoni Kuondolewa

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni – Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni – Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na ujenzi wa mradi huo kusuasua na utekelezaji wake kuwa
April 8, 2024

TMA Yatangaza Kupatwa kwa Jua Leo Jioni

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatangaza kwamba tarehe 8 Aprili 2024 kutatokea tukio la kupatwa kwa Jua kikamilifu katika sehemu ya Bara la Amerika ya Kaskazini. Kupatwa kwa Jua ni tukio ambapo kivuli cha mwezi huangukia juu ya uso wa
April 8, 2024

Bank Stresses Teaching Kids Financial Literacy

ABSA Bank of Tanzania has recently emphasized the critical importance of instilling financial literacy in children to equip them with the necessary skills to make informed financial decisions as they navigate through life. In a statement delivered in Dar Es Salaam, Absa
April 8, 2024

Magari Ya Serikali Kutembea Mwisho Saa 12

Naibu Waziri wa Ujenzi Godfrey Kasekenya Amesema Serikali kupitia waraka wa Rais wa mwaka 1998 imesema magari yote ya Serikali yanatakiwa kuwa yameegeshwa sehemu zilizotengwa kwa ajili hiyo ifikapo saa 12:00 jioni bila kukosa, vinginevyo kiwepo kibali maalum. Kasekenya amesema hayo wakati
April 8, 2024

Natural Gas Drives Development In Songosongo

Residents of Songo Songo Ward in Kilwa District, Lindi Region are reaping the benefits of the proper implementation of the Petroleum Act No. 21 of 2015 and its regulations. A recent visit by officials from the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) at
April 7, 2024
1 319 320 321 322 323 372