Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 230

SADC Initiatives Gain Tanzania’s Support

At the recent SADC Extraordinary Summit of Heads of State and Government convened to discuss the impacts of the El Nino weather phenomenon, Tanzania has reaffirmed its unwavering support for the decisions and actions undertaken by the regional bloc. Speaking on behalf
May 21, 2024

Vijana Watakiwa Kujenga Hoja, Siyo Kuwasifu Viongozi

 Nusrat Hanje, Mbunge wa Viti Maalum, amewataka vijana wa Tanzania kubadilisha mtazamo wao na kuwa vijana wenye uwezo wa kujenga hoja badala ya kuwa vijana wanaowabeba mikoba viongozi na kuwasifiwa muda wote. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mhe. Hanje amesema
May 21, 2024

CIDCA Yaonesha Nia Kufadhili Miradi Mipya Tanzania

Uhusiano  wa sekta mbali mbali kati ya china na Tanzania umeendelea kuimarika siku hadi siku na hii imedhihirishwa na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Misaada la China (CIDCA), Luo Zhaohui aliposema kuwa Nchi hiyo itaendelea kufadhili miradi mipya ya kimkakati ya
May 20, 2024

Vijana Watakiwa Kuchangamkia Fursa Mbadala

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta mbalimbali ikiwepo ya Madini kama ajira mbadala na namna ya kujikwamua kiuchumi wao binafsi na familia zao sambamba na kuongeza mchango wao katika maendeleo ya taifa kwa
May 19, 2024

Ethiopia Open for Embassy Construction in Dodoma

Tanzania has praised the Ethiopian government for making history in Dodoma by being the first country to construct embassy offices and residential buildings for diplomats in the city, urging other nations to follow this example. Deputy Minister for Foreign Affairs and East
May 19, 2024

TANROADS Yatangaza Zabuni Madaraja Chakwale, Nguyami

Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) umeanza kutekeleza maagizo ya Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa aliyoyatoa Februari 22, 2024 wakati wa ziara yake ya siku Nne Mkoani Morogoro ya kukagua miundombinu ya Barabara ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Dkt. Samia Suluhu
May 19, 2024

Viongozi Simba Wasema “No” Ofa Ya Chama

Wakati Simba wakiendelea kuwapa mikataba mipya baadhi ya wachezaji wake, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Mzambia, Clatous Chama, amesema anahitaji kulipwa Dola za Marekani 300,000 ( zaidi ya Sh. milioni 765), ili akubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Taarifa
May 18, 2024
1 228 229 230 231 232 302