Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 217

Zanzibar Celebrate 60 Years Of Progress

Zanzibar marked a significant milestone on June 11, 2024, as the nation commemorated the 60th anniversary of the Zanzibar Revolution and the Union of Tanzania. The celebratory conference, held at the Dr. Mohamed Ali Shein Campus, brought together dignitaries and stakeholders to
June 11, 2024

Mpango wa Afya Ngazi ya Jamii Pwani

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imezindua rasmi utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii, ambao una lengo la kuboresha huduma za afya katika ngazi ya msingi. Mpango
June 11, 2024

Graduates Urged to Integrate with Society Post-Graduation

The National Chairman of UVCCM,. Mohammed Ali, has urged graduates to actively engage with their communities post-education, emphasizing the significance of social integration and discouraging the creation of social divides. He delivered at the graduation ceremony of Senet Colleges and Universities at
June 10, 2024

Serikali Kuwezesha Sekta ya Michezo Zaidi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza mipango kabambe ya Serikali ya awamu ya sita kuhakikisha sekta ya michezo inaendelea kuwezeshwa na kupewa kipaumbele nchini. Katika hafla ya tuzo za michezo iliyofanyika kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Waziri Mkuu alieleza kwamba sekta
June 10, 2024

Bil.18.5 Kutumika Ujenzi wa Mifereji ya Maji Tabora

Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Zainab Katimba amesema serikali inahitaji kiasi cha shilingi bilioni 18.47 kwa ajili ya ujenzi wa mifereji ya kupokea maji ya mvua katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mkoani Tabora. Amesema
June 10, 2024

Enhancing Education Access New Report Launch

The Civil Society Organization, HakiElimu, has unveiled a comprehensive report addressing the availability of quality education for children residing in informal settlements in urban areas. The report aims to enhance education accessibility for this demographic in Tanzania. The research, conducted by HakiElimu
June 10, 2024

Miti Milioni 266 Yapandwa Tanzania Bara

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo, ametangaza kuwa miti milioni 266 imepandwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara hadi kufikia Machi 2024. Akiwa bungeni jijini Dodoma leo, Juni 10, 2024, Dkt.
June 10, 2024
1 215 216 217 218 219 303