Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Swahili News - Page 9

Tanzania Advances Towards Regional Medical Tourism Hub

Tanzania is poised to cement its position as a leading destination for medical tourism in East Africa, with plans to introduce liver transplant services by the end of 2025. This development builds on the country’s growing reputation for delivering specialized healthcare, including
November 25, 2024

Dawa za maji mzigo kwa mamlaka za maji

Serikali imekili kuwa gharama za dawa za kutibu maji ni kubwa na imewaalika wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia fursa hiyo itakayo punguza gharama za upatikanaji maji nchini. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema akiwa London, Uingereza kushiriki
February 23, 2024

Mwigulu apaka “bleach” Pacome Day

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka kwenye ukurasa wake wa instagram ikimuonesha amepaka “bleach” ikiwa ni sehemu ya hamasa kwa Wachezaji na wafuasi wa Yanga Sc kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad utakaopigwa Jumamosi katika dimba
February 23, 2024

Qatar yatoa msaada waathirika Hanang

Serikali nchini Qatar imetoa msaada wa vyakula kwa ajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope yaliyotokea Disemba mwaka jana wilayani Hanang mkoani Manyara na kuua watu 89. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amepokea
February 20, 2024