Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Breaking News - Page 4

Kesi Ya Jenerali Bunyoni Kusikilizwa Leo

Kesi inayomuhusu Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi Jenerali Alain Guillaume Bunyoni inatarajiwa kusikilizwa leo baada ya kukata rufaa katika Mahakama ya rufaa. Mahakama ya juu ya Burundi ilimuhukumu Waziri Mkuu wa zamani Alain-Guillaume Bunyoni kifungo cha maisha jela baada ya kumpata
May 27, 2024

Mke Amuua Mume Kisa Wivu Wa Mapenzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi wa Mtaa wa Katanini Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Ephagro Msele (43) kwa madai ya kumkuta kwa mzazi mwenzake. Kwa mujibu wa watu wa karibu na Msele, Mei
May 26, 2024

Watu 11 Wamefariki Dunia Kiwanda cha Mtibwa

Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro. Akizungumza na Media Wire Express leo Alhamisi Mei
May 23, 2024

World Condemns Moscow Terrorist Attack

Governments around the world have condemned the act of terrorism at the Crocus City Hall concert venue outside Moscow on Friday evening, in which at least 115people were killed and over 187 injured. Messages of condolences and support for the Russian people
March 23, 2024
1 2 3 4 5 6 9