Dark
Light

Kassim Majaliwa

Hoja za Muungano Zimefikia Pazuri

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema hatua ya utatuzi wa hoja za Muungano imefikia pazuri hivyo ni jukumu la Serikali kuendelea kutoa elimu hususan kwa vijana ili wapate uelewa kuhusu Muungano. Ameyasema hayo leo Juni 13, 2024 wakati akijibu swali la Mbunge
June 13, 2024

“Serikali Kuanzisha Benki Ya Ushirika”-Majaliwa

Waziri  Mkuu Kasim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na uratibu wa uanzishaji wa Benki ya Taifa ya Ushirika na tayari sh. bilioni 15.7 zimekusanywa kutoka kwa wanahisa. Amesema kiasi hicho ni sawa na asilimia 78.5 ya mtaji wa sh. bilioni 20 zinazohitajika na
April 17, 2024