Dark
Light

bashungwa

Bashungwa Aweka Wazi Kupunguza Msongamano Katika Majiji

Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2023/25 Bungeni Dodoma. Amesema miradi hiyo ni pamoja na
May 29, 2024

Bashungwa Awataka TEMESA Kurekebisha Kasoro

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ametoa agizo la kuchukuliwa hatua kali dhidi ya mameneja wazembe wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kufuatia malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wananchi kuhusu huduma duni zinazotolewa na taasisi hiyo,Miongoni mwa malalamiko makubwa yaliyotolewa
April 23, 2024

Rais Samia Atoa Fedha Za Dharura Wizara Ya Ujenzi

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipatia Wizara ya Ujenzi fedha za dharura ili kusaidia kufanya ukarabati kwenye maeneo ambayo mawasiliano ya barabara yamekatika kutokana na mvua za
April 15, 2024

Wanaosimamia Ujenzi Barabara Ya Kibaoni Kuondolewa

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni – Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni – Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na ujenzi wa mradi huo kusuasua na utekelezaji wake kuwa
April 8, 2024