Dark
Light

Tanzania

Latest

Ratiba Mpya Mabasi Ya Safari Za Usiku Yatangazwa

May 6, 2024
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema hadi kufikia March, 2024 jumla ya ratiba za mabasi 798 zimetolewa kwa ajili ya safari za usiku akisema hiyo ni ishara kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu

ACT Wazalendo Party Endorses Zitto Kabwe for Presidency

May 6, 2024
In a recent national event commemorating the 10th anniversary of the establishment of the ACT Wazalendo party, Ismail Jussa Ladhu, the Deputy Chairman of ACT Wazalendo Zanzibar, declared that their party, having solidified itself institutionally over the past decade, is ready to

Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu Yashika Kasi

May 6, 2024
Leo hii, Tanzania inashuhudia kuanza rasmi kwa mitihani muhimu ya Kidato cha Sita (ACSEE) na Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada. Hatua hii muhimu inaambatana na matarajio makubwa kutoka kwa wanafunzi, walimu, na wazazi kote nchini. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Ofisi

Charleston Spearfisher Survives Shark Attack at Sea

May 5, 2024
A shark attack occurred off the coast of Charleston, South Carolina on Thursday while a man was spearfishing, as reported by Coast Guard Sector Charleston. The victim, a 65-year-old individual, sustained the bite approximately 20 miles from the Charleston shoreline, stated Petty

Serikali Yadhamiria Kuboresha Huduma za Ukunga

May 5, 2024
Serikali kupitia Wizara ya afya imedhamiria kuendelea kuboresha huduma za Ukunga sambamba na kuongeza idadi yao ili kupunguza vifo vya watoto wa mchanga. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Mei 5, 2024 kwenye siku ya Mkunga duniani ambapo mgeni

Kinana Awavaa Chadema,Muungano Watajwa

May 5, 2024
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana amesema Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) wamepata uhuru mkubwa wa kufanya maandamano nchi nzima lakini bado wamekituhumu chama cha mapinduzi na serikali kwa mambo ya uongo hayo yamejiri  leo, Jumapili Mei 05.2024 alipokuwa
1 638 639 640 641 642 776