Dark
Light

Tanzania

Latest

Makalla Awahakikishia CCM Upele Umepata Mkunaji

April 5, 2024
Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amewataka Wanachama wa CCM waamini wanae Mwenezi na wasiwe na wasiwasi huku akisema yupo tayari kwa mdahalalo wowote kujibu hoja na kushindana kwa hoja na sio vihoja na

“Muziki Umeanza Hii Safu Ni Ujumbe Tosha”-Mongella

April 5, 2024
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Mongella amewataka Wanachama wa CCM wamuamini huku akiwaahidi kuwa atasimamia kuhakikisha utendaji ndani ya Chama hicho na kuipongeza safu ya uongozi iliyoteuliwa hivi karibuni na sekretarieti. Mongella ameyasema hayo leo Aprili 5, 2024 Jijini Dar

Denmark Kuwekeza Mitaji Na Teknolojia Sekta Binafsi Tanzania

April 5, 2024
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameihakikishia Denmark kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na nchi hiyo kupitia Mkakati wake mpya wa ushirikiano wa kimataifa kwa kuishirikisha sekta binafsi katika mipango yake ya maendeleo ili kukuza uchumi na ajira. Dkt.

Nigeria Detains Binance Executive On Tax Evasion

April 5, 2024
One of the two Binance Executives, from the world’s largest cryptocurrency exchange, who was detained in Nigeria, made an appearance in an Abuja court on Thursday to face charges related to tax evasion and money laundering. Tigran Gambaryan, a US citizen and

“Every Home to Receive Natural Gas Distribution”-Kapinga

April 5, 2024
Deputy Minister of Energy Judith Kapinga said, The government, through the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), continues with the implementation of various natural gas distribution projects in the Dar es Salaam region. “So far, the government has distributed natural gas via pipelines

Uchumi,Demokrasia Na Utawala Bora Kukuza Nchi

April 5, 2024
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amesema Tanzania itaendelea kuwekeza fedha kwenye sekta za uzalishaji, kudumisha demokrasia na utawala bora ili kukuza uchumi wa nchi na ustawi wa jamii. Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka
1 599 600 601 602 603 710