Dark
Light

Tanzania

Latest

CCM Moto Umewaka, Makalla Aapa Kukitetea CHama.

April 13, 2024
Mhe, Amos Makalla, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ametoa taarifa muhimu baada ya kuwasili Jijini Dodoma kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kwenye nafasi hiyo. Akizungumza na wananchi Makalla ameeleza kuwa yuko tayari kushiriki katika mdahalo

RC Makonda Adai Mawaziri Wanawalipa Watu Kumtukana Rais

April 12, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka watu wanaotumia fedha kuwatuma watu kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan mtandaoni kuacha mara moja na endapo wataendelea, Jumatatu ya Aprili 15,2024 atawajata. Makonda amesema, “Wapo watu wanaotumia fedha kuwaagiza watu kumtukana Rais Samia, naomba

Mashabiki Wa Simba Waujia Juu Uongozi

April 12, 2024
Mashabiki Wa Simba Wametoa Neno Juu Ya Matokeo Ya Timu Yao Baada Ya Kufurumushwa Kwenye Michuano Ya Ligi Ya Mabingwa Afrika Pamoja na CRDB Confederation Cup. Mashabiki Hao Waliopo Kawe Kanisani,Wamezungumza Na Media Wire Na Kueleza Ni Jinsi gani Mwenendo wa Matokeo

Tanzania Mwenyeji Mkutano Wa 6 CASSOA

April 12, 2024
Mkutano wa sita wa Taasisi inayosimamia Ulinzi na Usalama wa Usafiri wa Anga Afrika Mashariki (CASSOA) unatarajia kufanyika kuanzia tarehe 15 hadi 16 Mei 2024 , katika Hoteli ya Verde visiwani Zanzibar. Mkutano huo utawakutanisha wadau muhimu wa Usafiri wa Anga ikiwa
1 594 595 596 597 598 710