Dark
Light

Tanzania

Latest

Graduates Urged to Integrate with Society Post-Graduation

June 10, 2024
The National Chairman of UVCCM,. Mohammed Ali, has urged graduates to actively engage with their communities post-education, emphasizing the significance of social integration and discouraging the creation of social divides. He delivered at the graduation ceremony of Senet Colleges and Universities at

Serikali Kuwezesha Sekta ya Michezo Zaidi

June 10, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza mipango kabambe ya Serikali ya awamu ya sita kuhakikisha sekta ya michezo inaendelea kuwezeshwa na kupewa kipaumbele nchini. Katika hafla ya tuzo za michezo iliyofanyika kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Waziri Mkuu alieleza kwamba sekta

Bil.18.5 Kutumika Ujenzi wa Mifereji ya Maji Tabora

June 10, 2024
Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Zainab Katimba amesema serikali inahitaji kiasi cha shilingi bilioni 18.47 kwa ajili ya ujenzi wa mifereji ya kupokea maji ya mvua katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mkoani Tabora. Amesema

Enhancing Education Access New Report Launch

June 10, 2024
The Civil Society Organization, HakiElimu, has unveiled a comprehensive report addressing the availability of quality education for children residing in informal settlements in urban areas. The report aims to enhance education accessibility for this demographic in Tanzania. The research, conducted by HakiElimu

Miti Milioni 266 Yapandwa Tanzania Bara

June 10, 2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo, ametangaza kuwa miti milioni 266 imepandwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara hadi kufikia Machi 2024. Akiwa bungeni jijini Dodoma leo, Juni 10, 2024, Dkt.

Vita Ya Al-Shabaab Na Somalia Yaondoka Na Vifo Vya Watu

June 10, 2024
Wakaazi wanasimulia milipuko iliyosikika huku kundi la wanamgambo la Al-Shabaab likidai kuhusika na shambulio la Ceeldheer. Kikosi cha Somali kimekuwa kikipigana na wanamgambo wa Alshabab kwa zaidi ya miaka 16. Serikali ya Somalia ilisema wanajeshi wake watano walikufa katika vita, huku wakiwaua
1 586 587 588 589 590 760