Dark
Light

Malisa Aachiwa Huru, Akimbizwa Hospitali

June 8, 2024
by

Ripoti ya Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Dhamana kwa Mchambuzi wa Masuala ya Kijamii na Kisiasa, Godlisten Malisa

Tarehhe 06 June Mchambuzi maarufu wa Masuala ya Kijamii na Kisiasa, Godlisten Malisa, alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano kuhusu tuhuma kadhaa zinazohusiana na taarifa alizochapisha kwenye Mitandao ya Kijamii.

Mchambuzi Huyo alikamatwa ikiwa ni muda mfupi baada kuahirishwa kwa Kesi inayowakabili yeye na aliyekuwa Meya wa Ubungo, BonifaceJacob katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

Soma Zaidi:Polisi Nchi 14 Kufanya Mazoezi Pamoja Tanzania

Taarifa  zinasema Jeshi la Polisi lilimkamata Malisa kwa kile walichodai ana shtaka jipya Mkoani Kilimanjaro na hivyo Jeshi hilo likaanza safari ya kumpeleka Mkoani Kilimanjaro

Awali, Malisa na Meya Mstaafu Jacob walifikishwa Mahakamani hapo wakituhumiwa kuchapisha taarifa za uongo kinyume na Sheria. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 4, 2024 ambapo usikilizwaji wa awali wa shauri hilo utaanza

usiku wa kuamka leo Malisa aliachiliwa kwa dhamana na kuwekwa chini ya uangalizi wa Wakili Hekima Mwasipu.

Wakili Mwasipu alieleza kwamba Malisa amehojiwa mara mbili na walikuwa wanasubiri kwa ajili ya mahojiano ya tatu.
Malisa aliachiliwa kwa dhamana baada ya kusaini bondi ya Tsh. Milioni 10.

Baada ya kuachiliwa, Malisa amepelekwa Hospitali ya KCMC kutokana na hali yake ya afya kutokuwa nzuri.

Alikuwa akiugua homa, kifua kikimsumbua, na mwili wake ulionekana kuishiwa nguvu.

15 Comments

  1. Hey there! This is my 1st comment here so I just
    wanted to give a quick shout out and say I genuinely enjoy reading
    through your posts. Can you suggest any other blogs/websites/forums
    that go over the same topics? Thanks!

  2. Hey there just wanted to give you a quick heads up. The words in your post seem to
    be running off the screen in Opera. I’m not sure if this is
    a format issue or something to do with internet browser compatibility but I
    thought I’d post to let you know. The design and style look great
    though! Hope you get the issue solved soon. Kudos

  3. I must thank you for the efforts you have put in writing this site.
    I am hoping to check out the same high-grade content by you
    in the future as well. In truth, your creative writing abilities has inspired me
    to get my own, personal blog now 😉

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Lissu Calls for Radical Change in Tanzania’s Elections

Tundu Lissu, the Chairman of Chadema, has sent a strong

Lionel Messi Reveals No Retirement Plans Yet

Age, they say, is just a number – an adage