Dark
Light

Tanzania - Page 295

Artists Urged to Combat Child Gender Violence

Professor Adolf Mkenda has called on contemporary artists in Tanzania to collaborate with the government in combating gender-based violence against children. Mkenda has urged these artists to use their art to compose a song with a powerful message to raise awareness in
May 28, 2024

Tanzania Yapongezwa kwa Mikakati Endelevu Kudhibiti UKIMWI

Katika kikao kilichofanyika Geneva, Uswisi, Tanzania imeipongezwa kwa kuwa na mikakati endelevu na ya kudumisha mifumo ya afya pamoja na mwitikio wa kudhibiti VVU/UKIMWI ili kufikia malengo ya kitaifa na kimataifa ifikapo mwaka 2030. Hii inaonyesha kuwa nchi hiyo inachukua jukumu muhimu
May 28, 2024

Makonda Vows Accountability Amid Criticism

The Regional Commissioner of Arusha, Paul Makonda, has stated that he will not cease holding accountable those who fail to fulfill their duties, especially the officials of Arusha region who are not performing their tasks properly, despite criticism on how he handles
May 27, 2024

Kariakoo Market Set to Reopen in August

The construction and refurbishment of Kariakoo market is at 93% completion and is set to open in August this year. The main two-storey Kariakoo market was destroyed by fire in July 2021. The extension, known as the coconut market, has been rebuilt
May 27, 2024

Kuimarisha Afya Kupitia Mtindo Bora Wa Maisha

Katika hatua ya kukabiliana na magonjwa Yasiyoambukiza, Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza mikakati mbalimbali ikiwemo kampeni ya kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuzingatia mtindo bora wa maisha. Akizungumza hivi karibuni wakati wa matembezi yaliyoandaliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) yanayojulikana kama
May 27, 2024

Mke Amuua Mume Kisa Wivu Wa Mapenzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi wa Mtaa wa Katanini Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Ephagro Msele (43) kwa madai ya kumkuta kwa mzazi mwenzake. Kwa mujibu wa watu wa karibu na Msele, Mei
May 26, 2024
1 293 294 295 296 297 372