Dark
Light

Tanzania - Page 293

UN Warns Of Hunger For 55m In West, Central Africa

 Soaring prices have helped fuel a food crisis in West and Central Africa, where nearly 55 million people will struggle to feed themselves in the coming months, UN humanitarian agencies warned on Friday. During the June-August lean season, the number of people experiencing
April 14, 2024

TANROADS Waweka Vioo Mlima Kitonga

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekuja suluhisho la aina mbili katika eneo la Mlima Kitonga ikiwa ni pamoja na upanuzi wa baadhi ya sehemu zenye kona kali na kuweka vioo vya usalama barabarani. Suluhuhisho la kudumu ni kumtumia Mhandisi Mshauri
April 14, 2024

Simba Wabanwa Mbavu Na Ihefu

Dakika 90 za Mchezo wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara kati ya Klabu ya Simba Dhidi ya Ihefu zimetamatika Kwa Sare Ya goli Moja Kwa moja Na Timu zote Kugawana Alama, Ihefu Wakiwa Ndiyo Wenyeji Wa Mchezo Huko Liti Mkoani Singida walikuwa
April 13, 2024

Ukarabati Mto Msimbanzi Serikali Yatekeleza Awamu Ya Kwanza

Serikali ya Tanzania imechukua hatua madhubuti kwa kuanza ukarabati wa awamu ya kwanza wa Mto Msimbanzi leo, tarehe 13 Aprili 2024. Hatua hii imechukuliwa ili kukabiliana na uharibifu unaosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha Jijini Dar Es Salaam. Kwa lengo la kuepusha
April 13, 2024

Teuzi Rais Samia Amteua Kasore Na Shirima

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amechukua hatua muhimu katika kuimarisha uongozi na utendaji kwa kufanya uteuzi wa viongozi katika maeneo ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi, pamoja na sekta ya nishati. Katika uteuzi huo wenye
April 13, 2024

Waziri Ummy Aongoza Wananchi Matembezi Ya Afya

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, ameongoza mamia ya wananchi leo, Aprili 13, 2024, katika matembezi ya hisani ambayo yamefanyika kwa pamoja na zoezi la upimaji afya, likijumuisha vipimo vya shinikizo la juu la damu (presha) na sukari. Matembezi hayo yalikuwa sehemu
April 13, 2024

CCM Moto Umewaka, Makalla Aapa Kukitetea CHama.

Mhe, Amos Makalla, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ametoa taarifa muhimu baada ya kuwasili Jijini Dodoma kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kwenye nafasi hiyo. Akizungumza na wananchi Makalla ameeleza kuwa yuko tayari kushiriki katika mdahalo
April 13, 2024
1 291 292 293 294 295 346