Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 252

TMA Yatangaza Kupatwa kwa Jua Leo Jioni

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatangaza kwamba tarehe 8 Aprili 2024 kutatokea tukio la kupatwa kwa Jua kikamilifu katika sehemu ya Bara la Amerika ya Kaskazini. Kupatwa kwa Jua ni tukio ambapo kivuli cha mwezi huangukia juu ya uso wa
April 8, 2024

Bank Stresses Teaching Kids Financial Literacy

ABSA Bank of Tanzania has recently emphasized the critical importance of instilling financial literacy in children to equip them with the necessary skills to make informed financial decisions as they navigate through life. In a statement delivered in Dar Es Salaam, Absa
April 8, 2024

Magari Ya Serikali Kutembea Mwisho Saa 12

Naibu Waziri wa Ujenzi Godfrey Kasekenya Amesema Serikali kupitia waraka wa Rais wa mwaka 1998 imesema magari yote ya Serikali yanatakiwa kuwa yameegeshwa sehemu zilizotengwa kwa ajili hiyo ifikapo saa 12:00 jioni bila kukosa, vinginevyo kiwepo kibali maalum. Kasekenya amesema hayo wakati
April 8, 2024

Natural Gas Drives Development In Songosongo

Residents of Songo Songo Ward in Kilwa District, Lindi Region are reaping the benefits of the proper implementation of the Petroleum Act No. 21 of 2015 and its regulations. A recent visit by officials from the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) at
April 7, 2024

Yanga SC Yatuma Malalamiko CAF Kudhulumiwa Goli

Klabu ya Yanga SC imeandika barua ya malalamiko kwa CAF kufuatia kukataliwa kwa goli la Azizi Ki dakika ya 57 dhidi ya Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League hatua ya robo fainali, Refa wa mchezo huo Raia wa Mauritania, Dehane
April 6, 2024

Ofisi Ya Waziri Mkuu Yakanusha Taarifa ya Mikopo ya Mo Dewji

Ofisi ya Waziri Mkuu imekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kupitia ukurasa wa Facebook uitwao “Mo Dewji Mikopo.” Taarifa hiyo, iliyosambazwa na ukurasa huo, ilidai kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu alitoa kauli inayounga mkono taasisi hiyo. Katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya
April 6, 2024

Tanzania, UK Strengthen Collaboration

The government of the United Kingdom has announced new plans and strategies for cooperation with the government of Tanzania to strengthen collaboration in the sectors of Health, Investment, and Trade, and to support environmental projects and climate change initiatives. These plans were
April 6, 2024
1 250 251 252 253 254 302