Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 247

Nchimbi Sounds Alarm on Embezzlement Concerns

The Secretary General of the ruling party CCM,Ambassador Emmanuel Nchimbi, has expressed concern about embezzlement in the execution of key development projects, instructing contractors to deliver the projects promptly and according to the necessary standards. He instructed the contractor responsible for the
April 17, 2024

Waziri Mkuu Akagua Athari Za Maafa Rufiji

Wazri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi waliokumbwa na adha ya mafuriko nchini waendelee kuwa watulivu wakati Serikali ikiendelea kuratibu utoaji wa misaada kwenye maeneo yaliyoathirika. “Barabara ya Mkongo hadi Utete na ile ya kutoka Mloka Mkongo zote zimeathirika. Tunafanya kazi ya kurejesha
April 17, 2024

Afrika Yajipanga Kunufaika Na G20

Tanzania imeishauri Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), kutumia kikamilifu fursa ya kiti cha uwakilishi wa Umoja wa Afrika katika Kundi la nchi Ishirini Tajiri Duniani (G20), kutetea maslahi ya nchi za Afrika ili ziweke kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokwaza maendeleo ya
April 16, 2024

TCAA Yapata Sifa Usimamizi Sekta Ya Anga

Kamati ya Mawasiliano Ardhi Na Nishati Ya Baraza La Wawakilishi Zanzibar imesifu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania kwa jitihada inayofanya katika usimamizi wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania bara na Zanzibar na kupelekea kuimarika usalama  wa usafiri wa  anga nchini.
April 16, 2024

TAMISEMI Yaomba Bunge Kuidhinisha Shilingi Tril.10.125

Ofisi ya Rais – TAMISEMI,  imeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125 kwa taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya trilioni
April 16, 2024

Ripoti Ya CAG, Upigaji Bado Upo

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, imeonesha kuwa ununuzi na usimamizi wa mikataba katika mamlaka 35 za serikali za mitaa wa jumla ya Sh. bilioni 4.22 ulifanyika bila kuitisha nukuu za ushindanishi wa bei. Aidha, mamlaka 16 za serikali
April 16, 2024
1 245 246 247 248 249 302