Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Tanzania - Page 240

TTCL Shida ni Nini?

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limekuwa likitoa huduma ya mtandao wa T-Fiber, ikiwa ni pamoja na huduma ya Fiber na Nano (Wireless Fiber), kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa intaneti nchini. Hata hivyo, kumekuwa na baadhi ya shida zinazowakabili watumiaji wa mtandao
May 2, 2024

Kimbunga “HIDAYA” Chakaribia Pwani ya Mtwara

Tarehe 1 Mei 2024, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) iliyotoa taarifa kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Mtwara. Tangu wakati huo, mgandamizo huo umekuwa ukiongezeka nguvu na kujitokeza kama kimbunga kinachojulikana
May 2, 2024

Waandishi wa Habari: Ubunifu Duni na Tabia ya Kuiga

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa Mwaka 2024 yamefanyika hivi karibuni, na katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Nukta Africa, Nuzulack Dausen, ametoa ujumbe muhimu kuhusu changamoto zinazokabili tasnia ya habari na jinsi zinavyowaathiri waandishi wa habari.
May 2, 2024

Workers Hopeful as Government Promises Salary Increase

At the commemoration of the celebration of International Workers’ Day, held in Arusha Tanzania, Vice President, Dr. Philip Mpango, delivered a message of hope  for all working Tanzanians,assuring them  of government plans to increase salaries soon. The Vice President who delivered the
May 1, 2024

FIFA Yaipiga Tena Rungu La Usajili Yanga

Ikiwa ni siku chache tu tangu ifungiwe na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kufanya usajili kutokana na kukiuka kanuni za uhamisho, Klabu ya Yanga imechafua tena faili lake katika shirikisho hilo baada ya kuzuiwa kwa mara ya pili kusajili kutokana na
May 1, 2024

Mbowe: Tathmini Ya Maandamano Kwa Mikoa 13

Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikihitimisha jana awamu ya kwanza ya maandamano yake katika mikoa 13 nchini, Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe, ametoa tathmini ya maandamano hayo kwamba yalilenga mambo manne. Miongoni mwa mambo hayo ni kueleza Watanzania namna Tume
May 1, 2024

Petroli Dar Es Salaam Yafikia 3,314

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya ya rejareja kwa lita ya petroli kufikia Sh3,314 ikiwa ni bei ya juu zaidi tangu Sh3,410 iliyotangazwa Agosti, 2022. Bei ya petroli kupitia katika bandari ya Dar es Salaam
May 1, 2024
1 238 239 240 241 242 302