Dark
Light

Politics - Page 288

Sativa Alazwa Aga Khan kwa Matibabu Zaidi

Edgar Mwakabela, maarufu kama Sativa, aliyeripotiwa kupotea tarehe 23 Juni 2024, amepatikana mkoani Katavi na kupelekwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi katika Hospitali ya Aga Khan. Hali yake ilihitaji matibabu ya haraka kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata baada ya kudaiwa kutekwa
June 30, 2024

Rais Nyusi wa Msumbiji Kuwasili Kesho Nchini

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Filipe Nyusi, anatarajia kuwasili nchini Kesho Julai 01, 2024 kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Kikazi ya takribani Siku 4 nchini, kufuatia Mwaliko rasmi wa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Waziri wa Mambo ya
June 30, 2024

Kenyan Youth Use AI to Expose Corruption

Kenyans have advanced their efforts to hold politicians accountable, building on a wave of youth-led protests against tax hikes by the ruling government. Although President William Ruto agreed to withdraw the Finance Bill 2024, many Kenyans view this concession as just the
June 29, 2024

End of CCM Predicted By CHADEMA Chairman

The chairman of CHADEMA Freeman Mbowe delivered a resolute message in Dareda, Babati District, Manyara Region, forecasting a transformative shift in Tanzania’s political landscape come next year’s General Election. Speaking passionately to constituents, Mbowe confidently declared that the ruling party, CCM, would
June 29, 2024

Serikali Kupunguza Wingi wa Kodi na Tozo

Serikali imesema kuwa mwaka 2017 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa biashara, ilitoa mwongozo wa pamoja wenye dhima ya kuunganisha tozo na kodi mbalimbali kwa nia ya kupunguza wingi wa tozo na kodi ili kuimarisha mazingira ya uwekezaji na ufanyaji biashara nchini.
June 29, 2024

Regional Commissioners Urged to Act Independently

The President’s Office has directed regional commissioners to take proactive measures in addressing public issues without waiting for state intervention. Mohamed Mchengerwa, the Minister of State in the President’s Office responsible for Regional Administration and Local Government, emphasized the importance of leadership
June 28, 2024

Serikali Yaondoa Tozo Gesi ya Magari

Serikali ya Tanzania imeridhia ombi la kuondoa ushuru wa shilingi 382 uliokuwa umepangwa kuwekwa kwenye kila kilo ya gesi asilia inayotumika kwenye magari kuanzia mwaka ujao wa fedha 2024/25. Ushuru huo umeondolewa kufuatia ushauri wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti,
June 27, 2024
1 286 287 288 289 290 339