Dark
Light

editor

Msafara Wa Makonda Wapata Ajali Masasi Mtwara

Msafara wa Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda umepata ajali katika eneo la Masasi mkoani Mtwara ukihusisha magari zaidi ya 10. Ajali hiyo iliyotokea saa 9 alasiri imehusisha zaidi ya magari 13 yaliyokuwepo katika msafara wa muenezi
February 11, 2024
1 199 200 201 202 203 233