Serikali, kupitia Wizara ya Ujenzi, imebainisha kuwa ujenzi wa barabara ya Sanzate – Nata, iliyo katika Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara yenye urefu wa kilomita 40, na inayojengwa kwa kiwango cha lami, umepiga hatua na kufikia asilimia 45. Utekelezaji wa mradi huu unatarajiwa kukamilika mnamo Januari 2025.
Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma leo Tarehe 2, Aprili 2024 na Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya wakati akijibu swali la Mbunge wa Serengeti Jeremiah Amsabi aliyehoji Je, ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara ya lami kipande cha Sanzate hadi Natta.
“Mheshimiwa Spika baada ya Waziri kutembelea na kuongea na Mkandarasi, kimefanyika kikao na watendaji wake wakuu na kumekuwa na mabadiliko na tayari Mkandarasi yupo site anaendelea na kazi, na kuhusu malipo nataka nikuhakikishie Mheshimiwa Mbunge kwamba tayari maandalizi ya malipo ya certificate za mkandarasi yapo na ndio maana yupo ‘site’, amesema Eng. Kasekenya.
Eng. Kasekenya amesema mpango wa Serikali ni kuijenga barabara yote kutoka Mugumu – Natta – Sanzate hadi Makutano kwa kiwango cha lami ili kurahisisha mawasiliano kwa wananchi wa Serengeti na maeneo jirani.
Aidha, Eng. Kasekenya amesema Barabara ya Kilindoni – Rasi Mkumbi wilaya ya Mafia mkoani Pwani ipo kwenye mpango wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na itajengwa kwa kiwango cha lami.
Read>> http://Ujenzi Wa Barabara Kilometa 60.7 Kiwango Cha Lami Misenyi – Bukoba
As I web site possessor I believe the content matter here is rattling magnificent , appreciate it for your hard work. You should keep it up forever! Best of luck.
Excellent read, I just passed this onto a friend who was doing some research on that. And he just bought me lunch because I found it for him smile Therefore let me rephrase that: Thank you for lunch! “The guy with the biggest stomach will be the first to take off his shirt at a baseball game.” by Glenn Dickey.
WONDERFUL Post.thanks for share..extra wait .. …
What i don’t understood is actually how you’re not actually much more well-liked than you might be now. You are so intelligent. You realize thus considerably relating to this subject, made me personally consider it from numerous varied angles. Its like men and women aren’t fascinated unless it is one thing to accomplish with Lady gaga! Your own stuffs outstanding. Always maintain it up!
An fascinating discussion is worth comment. I feel that you should write extra on this subject, it might not be a taboo topic but generally people are not sufficient to speak on such topics. To the next. Cheers