Majaliwa Akutana na Wafanyabiashara Kuhusu Kodi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, katika jitihada za kutatua changamoto za kodi zinazowakabili wafanyabiashara. Kikao hicho kimefanyika siku ya tatu tangu wafanyabiashara hao walipofunga maduka yao, wakilalamikia mzigo …