Serikali Kukuza Maendeleo Vijijini Kupitia TARURA.
Serikali ya Tanzania imejizatiti kuweka mkazo wa kipekee katika kuendeleza vijijini kama njia ya kuchochea uchumi jumuishi nchini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, alisisitiza hili wakati wa kupitisha Mpango wa Maendeleo ya …