Dark
Light

#samaki #ziwavictoria #Tanzania

Asilimia 20 ya samaki Ziwa Victoria wana plastiki

Wakati ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani imeelezwa kuwa asilimia 20 ya samaki Ziwa Victoria wana chembechembe za plastiki kutokana na ongezeko la uchafuzi wa taka hizo ndani ya Ziwa hilo linalohudumia watu zaidi ya milioni 40. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji
June 6, 2024