Dark
Light

#Government #Tanzania #Biteko

Government Promotes Integrity for Sustainable Development

The government will continue to uphold and promote the integrity of ethical standards as a foundation for sustainable development through effective policies and laws, involving stakeholders from religious, educational, and community sectors to foster a culture where ethics are integrated …
July 4, 2024

President Samia Opens DSM Trade Fair Amidst Tax Disputes

President Samia suluhu hassan has officially launched Opens Dar es Salaam Trade Fair Amidst Tax Disputes President Samia Suluhu Hassan officially opened the 48th Dar Es Salaam International Trade Fair (DITF) yesterday, focusing on investment milestones and economic growth while …
July 4, 2024

Hatua Kali Dhidi ya Wazazi Wanaokwamisha Elimu

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere, ametoa agizo kali kwa Jeshi la Polisi mkoani humo kuhakikisha kuwa wazazi na walezi wanaokwamisha masomo ya watoto kwa kuwapeleka kuchunga mifugo wanachukuliwa hatua kali za kisheria. Agizo hili lilitolewa wakati wa …
June 17, 2024

Dkt. Biteko Azindua Ripoti za Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, alizindua ripoti za utendaji wa sekta ndogo za umeme, gesi asilia, na mafuta kwa mwaka 2022/2023 katika hafla iliyofanyika tarehe 14 Juni, 2024 jijini Dodoma. Akitoa hotuba yake, Dkt. …
June 15, 2024

Serikali Kuwezesha Sekta ya Michezo Zaidi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza mipango kabambe ya Serikali ya awamu ya sita kuhakikisha sekta ya michezo inaendelea kuwezeshwa na kupewa kipaumbele nchini. Katika hafla ya tuzo za michezo iliyofanyika kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Waziri Mkuu alieleza …
June 10, 2024

Deputy PM Advocates For Children’s Education

The Deputy Prime Minister and Minister of  Energy Dr. Doto Biteko, who also serves as the Member of Parliament for Bukombe constituency in Geita region, has called on parents and guardians to ensure their children receive an education, emphasizing its …
June 8, 2024

Mapambano Dhidi ya Wanyamapori Wakali

WaharWizara ya Maliasili na Utalii imeendeleza mkakati thabiti wa kupambana na wanyamapori wakali na waharibifu na kuimarisha uhifadhi kwa kutoa mafunzo kwa Askari Wanyamapori wa Vijiji (VGS) 135. Katika hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika katika Chuo Cha Mafunzo ya …
June 8, 2024

ADVERT