Dark
Light

Tanzania

Latest

President Samia begins official visit to Norway

February 14, 2024
President Samia Suluhu Hassan has arrived in Norway today as she begins her visit to the Nordic country. Earlier on Tuesday, the Norwegian Ambassador to Tanzania, Tone Tinnes, revealed this in a post on her X account, which was reposted by the

Ngassa Amjibu Mayele Yanga Kufuga Majini

February 13, 2024
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga Mrisho Ngassa ameposti katika ukurasa wake wa instagram kujibu tuhuma za mchezaji mwenye asili ya Congo Fiston Mayele ,kufuatia tuhuma zilizotolewa jana Feb 12,2024 asubuhi. Katika ujumbe wake huo Ngassa amesema “Kuna kipindi niliamia team

Viongozi Wakuu wamuaga Lowassa

February 13, 2024
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango kwa niaba ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi na Waombolezaji wengine kwenye shughuli za kumuaga Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam leo February

Rais Samia Kuongoza Mazishi ya Lowassa February. 17

February 12, 2024
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli Mkoani Arusha Jumamosi Februari17, 2024. Awali Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza siku tano za

Waziri Mkuu Aagiza uvunwaji maji ya Mvua

February 12, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maji iongeze kasi katika uwekezaji kwenye ujenzi wa miundombinu ya kuvuna maji ya mvua pamoja na kujengeni mabwawa ya kukinga maji ili yatumike wakati wa kiangazi, kwenye ukame na kuzuia mafuriko.  Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewaagiza
1 744 745 746 747 748 802