Dark
Light

Tanzania

Latest

Polisi Kuimarisha Ulinzi Kuelekea Sherehe Z a Pasaka

March 27, 2024
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu kamishna wa Polisi DCP David Misime amesema machi 31,2024 Waumini wa Dini za Kikristo wataungana na wenzao Duniani katika kusherehekea Sikukuu ya Pasaka huku likibainisha kuwa limeimarisha ulinzi na usalama kuelekea sikukuu hizo. Akisema hayo
1 606 607 608 609 610 709