Dark
Light

Tanzania

Latest

Dereva Shabiby Atuhumiwa Kusababisha Ajali majeruhi 22

May 25, 2024
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva wa basi la kampuni ya Shabiby, Sadick Marugul, akituhumiwa kusababisha ajali iliyojeruhi watu 22 mapema leo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP. Alex Mkama, amesema ajali hiyo imetokea katika eneo la Kihonda kwa

Nchi Wanachama Kukuza Amani Na Usalama Afrika

May 25, 2024
Katika maadhimisho ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewaomba nchi wanachama kujitolea zaidi katika jitihada za kuleta na kudumisha amani

Tanzania Yazidi Kutekeleza Agenda Uchumi Wa Viwanda

May 25, 2024
Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imejitolea kikamilifu kutekeleza agenda ya uchumi wa viwanda nchini Tanzania. Hii ni hatua muhimu katika juhudi za kupiga hatua katika maendeleo ya uchumi wa nchi. Moja ya vipaumbele

Community Led Projects Propel Musoma’s Transformation

May 25, 2024
Residents of Musoma Rural Constituency have banded together to expedite the implementation of crucial development projects within their communities. Through a collaborative effort between the community, local leadership, and the office of the Member of Parliament, Professor Sospeter Muhongo, significant progress has
1 604 605 606 607 608 760