Dark
Light

Tanzania

Latest

Proffesa Zouzoua Kucheza Dabi ,Swala La Muda Tu

April 18, 2024
ZIKIWA siku mbili kabla ya mechi ya ‘Derby’ ya Kariakoo, Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ameanza mazoezi ya ushindani na wachezaji wenzake baada ya kukaa nje ya uwanja kwa siku 29 akiuguza jeraha la nyama za paja. Yanga itaikaribisha Simba kwenye

Samia Aidhinisha Ajira Mpya 46,000

April 18, 2024
WABUNGE wameitaka serikali kuja na mpango mkakati wa kutoa ajira za kutosha katika kada za elimu na afya ili kukabiliana na uhaba wa watumishi nchini hali itakayoendana na utekelezaji wa miundombinu uliofanyika hivi karibuni. Wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi

Ghana’s Former 2nd Lady Assaulted By Robbers

April 17, 2024
A self-styled businessman has been brought before the High Court in Accra for allegedly orchestrating and committing the robbery of high-profile personalities and elites in their respective homes. In addition to robbing a 76-year-old woman in Ridge, Yahuza Osumanu is accused of

“Serikali Kuanzisha Benki Ya Ushirika”-Majaliwa

April 17, 2024
Waziri  Mkuu Kasim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na uratibu wa uanzishaji wa Benki ya Taifa ya Ushirika na tayari sh. bilioni 15.7 zimekusanywa kutoka kwa wanahisa. Amesema kiasi hicho ni sawa na asilimia 78.5 ya mtaji wa sh. bilioni 20 zinazohitajika na

Madhara Yakutumia Dawa Za Kuongeza Makalio

April 17, 2024
Dunia Imekumbwa na Aina Mpya Ya Urembo Kwa Wanawake, Urembo Wa Kuongeza Makalio ili Kuwa Na Muonekano Bora Zaidi. Oktoba 27,2023,Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili-Mloganzila, ilianza Rasmi Huduma ya Upasuaji Wa Kupunguza Uzito na Upasuaji Rekebishi Yaani (Bariatric And Reconstructive Surgery) Ambapo
1 574 575 576 577 578 695