Dark
Light

Tanzania

Latest

Njia Mpya za Mabasi Kigamboni-Katikati Ya Jiji

June 22, 2024
Kwa lengo la kuboresha usafiri wa mijini, safu mpya ya njia za mabasi imetambulishwa inayounganisha Kigamboni na maeneo ya katikati ya jiji. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) iliyotangaza jana kupitia akaunti yao rasmi ya Instagram, imezindua njia tatu mpya za

CHADEMA Wazindua Ziara ya Kihistoria Kanda ya Kaskazini

June 22, 2024
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, na Naibu wake, Tundu Lissu, wameanza ziara kubwa ya majuma matatu katika mikoa ya kaskazini mwa Tanzania. Wakisafiri kwa helikopta, ziara hii ni kampeni kubwa ya kisiasa iliyopewa jina “Operesheni GF,” inayoongozwa

100 Patients Regain Sight in Chunya

June 22, 2024
Over 100 patients have regained their vision following successful cataract surgeries during a seven-day specialist eye surgery camp at the Chunya District Referral Hospital in Mbeya. This initiative, held from June 14-21, 2024, was supported by the government through the Ministry of

IMF Approves $935.6 Million Loan to Tanzania

June 22, 2024
The International Monetary Fund (IMF) has approved a substantial loan package totaling $935.6 million (TZS 2.45 trillion). This financial aid aims to support the country’s economic reforms and enhance its resilience against the impacts of climate change. The package is divided into

Ushirikiano Wilaya Malinyi ni Mbaya Sana – RC Malima

June 22, 2024
Watendaji wa Halmashauri Mkoani Morogoro wametakiwa kuwa mahiri katika kuzuia hoja za Ukaguzi kutojitokeza katika Halmashauri zao badala ya kuwa mahiri katika kujibu hoja hizo wakati zimejitokeza na hivyo kuiletea doa Halmashauri wanazofanyia kazi. Ushauri huo umetolewa Juni 21, 2024 na Mkaguzi

Mashina ya Migomba ni Utajiri Uliopindukia – RAS Morogoro

June 22, 2024
Wananchi wa Wilaya za Mlimba na Morogoro Vijijini Mkoani Morogoro wameshauriwa kutumia nyuzi zinazotokana na mashina ya migomba kama chanzo cha kujipatia kipato ndani ya familia na kuinua mapato ya halmashauri hizo kwa kutumia nyuzi za migomba kutengeneza vifaa mbalimbali, kuviuza na
1 571 572 573 574 575 760