Dark
Light

Tanzania

Latest

Makamba Awasili China kwa Ziara ya Kikazi

May 16, 2024
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb.) leo tarehe 16 Mei 2024 amewasili nchini China kuanza ziara ya kikazi. Ziara hii mbali na kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia wa kihistoria uliopo baina ya mataifa haya mawili

Manula Anukia Viunga Vya Azam

May 16, 2024
Uongozi wa Azam FC umedhamiria kwa dhati kumrudisha aliyekuwa Mlinda Lango namba moja wa kikosi hicho, Aishi Manula baada ya msimu huu kufikia tamati. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zinaeleza kwamba viongozi wanataka kumrejesha nyota huyo aliyeondoka ndani ya kikosi hicho
1 549 550 551 552 553 696