Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Msanii Harmonize Na Bondia Mwakinyo Wajipanga Kuzichapa

Msanii wa Bongo fleva Harmonize anaonekana kuwa na hamu ya kuonyesha ujuzi wake katika mchezo wa ngumi na anadai kuwa yeye ni professional boxer.
March 29, 2024
by

Msanii wa Bongo fleva Harmonize anaonekana kuwa na hamu ya kuonyesha ujuzi wake katika mchezo wa ngumi na anadai kuwa yeye ni professional boxer.

Hiyo inaonekana kama ni hatua mpya katika kazi yake baada ya muziki, akiingia katika uwanja mpya wa michezo. Itakuwa ya kusisimua kuona jinsi atakavyofanya katika ulingo.

 

“Ushindani Kwenye Muziki Umepungua Sanaa!!!! Nguvu Nyingi Zimehamia Kwenye Media !!! Nafikiri huu ndio muda wa kuonesha ulimwengu upande wangu wa pili wa mchezo ambao kiukweli naweza kuucheza ,mtaje mpiganaji wako pendwa ambaye anamkanda hata mmoja ,tafadhalini namaanisha” Harmonize

Bondia Hassan Mwakinyo  amepanga kumfanya msanii Harmonize kama mfano kwa wengine endapo atathubutu kupanda ulingoni na kuzichapa nae kwa kumshushi kipondo haswa.

Kupitia mtandao wa kijamii bondia huyo alituma kipande cha video baada ya kuona maneono ya msanii Harmonize kutaka pambano na yeye

Author

4 Comments

  1. Excellent post but I was wondering if you could write a litte more on this topic? I’d be very grateful if you could elaborate a little bit more. Thank you!

  2. I don’t think the title of your article matches the content lol. Just kidding, mainly because I had some doubts after reading the article.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Khamenei Rejects Trump’s Offer for Talks

Iran’s Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei, has dismissed U.S. President

Tz, Reassures Foreign Ambassadors Amidst Political,Tax Concerns

Tanzania has assured foreign ambassadors of its commitment to political