Dark
Light

Tanzania - Page 258

Twelve Miners Die in DRC Copper Mine Collapse

Twelve miners tragically lost their lives after a copper mine collapsed in Tulizembe, located in the mineral-rich Katanga Province of the Democratic Republic of Congo. The incident occurred early Saturday morning, trapping workers deep inside the mine and prompting a rapid but
February 10, 2026

Deputy PM Advocates For Children’s Education

The Deputy Prime Minister and Minister of  Energy Dr. Doto Biteko, who also serves as the Member of Parliament for Bukombe constituency in Geita region, has called on parents and guardians to ensure their children receive an education, emphasizing its critical role
June 8, 2024

Mapambano Dhidi ya Wanyamapori Wakali

WaharWizara ya Maliasili na Utalii imeendeleza mkakati thabiti wa kupambana na wanyamapori wakali na waharibifu na kuimarisha uhifadhi kwa kutoa mafunzo kwa Askari Wanyamapori wa Vijiji (VGS) 135. Katika hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika katika Chuo Cha Mafunzo ya Uhifadhi wa
June 8, 2024

Walimu Watafanya Mtihani Ili Kupata Ajira

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, ametangaza mkakati mpya wa utekelezaji wa Sera ya Elimu nchini ambao utahitaji walimu wapya wanaotafuta ajira kufanya mtihani maalum ili kuthibitisha uwezo wao. Prof. Mkenda aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi
June 8, 2024

Wizara Ya Elimu Kuhimiza Maboresho ya Mitaala

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametoa wito kwa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuendelea kushirikiana na vyuo vya elimu ya juu katika mchakato wa kuboresha mitaala ili iendane na Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014
June 8, 2024

Aziz Ki Aichemsha klabu Ya Yanga

Wakati kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki, akiandika waraka maalumu wa kuwashukuru wachezaji, viongozi, mashabiki na wafanyakazi wote wa timu hiyo kwa ushirikiano waliompa, klabu hiyo inatarajia kutangaza mikakati yake kuelekea msimu mpya kwenye mkutano mkuu wa wanachama utakaofanyika keshokutwa jijini
June 7, 2024

Health Minister Urges Acceptance for Intersex Children

The Health Minister, Honorable Ummy Mwalimu, has issued a heartfelt plea to Tanzanians, urging them to cease the practice of concealing intersex children and instead ensure they receive medical attention and support, emphasizing that effective treatments are available for this condition. Speaking
June 7, 2024
1 256 257 258 259 260 342