Dark
Light

Tanzania - Page 251

Hifadhi ya Mpanga Kipengere yagawa Ekari 52,877

Hifadhi ya Mpanga Kipengere imechukua hatua muhimu kwa kugawa ekari 52,877.602 kwa vijiji vinavyoizunguka, ikiwa ni juhudi za kutatua migogoro ya mpaka kwenye eneo hilo. Hatua hii imefanyika baada ya mchakato wa kina ulioongozwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ushirikiano
June 26, 2024

Mwenyekiti: Wafanyabiashara Kariakoo Wafungue Maduka

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Kariakoo, Bw. Martin Mbwana, ametoa wito kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao huku wakisubiri suluhisho la mwisho kutoka kwa Serikali kuhusu madai yao. Kauli hii imekuja baada ya siku tatu za mgomo wa wafanyabiashara katika eneo hilo. Akizungumza
June 26, 2024

Waandishi Kuimarisha Ripoti za Bunge Kuepusha Taharuki

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ametoa wito kwa waandishi wa habari kuwa na uelewa mzuri wa michakato ya Bunge ili kuripoti kwa usahihi na kuepusha kuzua taharuki kwa wananchi. Waziri Nnauye amesisitiza umuhimu wa waandishi wa habari
June 26, 2024

Mpaka wa Tanzania, Zambia Kuboreshwa Kudhibiti Mazao

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) amesema katika kudhibiti utoroshwaji wa mazao na bidhaa nchini Serikali imeboresha mpaka kati ya Tanzania na Zambia ambapo Mamlaka ya Mapato (TRA) na Mamlaka ya Mapato Zambia (ZRA) ziliingia makubaliano (MoU) yenye lengo
June 25, 2024

Kamata Wote Wanaochezesha Wanafunzi Ngoma – DC Magoti

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amepiga marufuku Watu kuandaa shughuli za ngoma kama vile mdundiko, unyago na sherehe za muziki na kuruhusu Wanafunzi kujumuika na kuserebuka kwenye shughuli hizo ambapo amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya vitendo hivyo vitabainika akamate kuanzia
June 25, 2024

Geita Yashinda Ubingwa wa UMISSETA Dhidi ya Tabora

Katika fainali ya kusisimua ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) iliyofanyika mjini Tabora, timu ya mpira wa miguu ya wavulana kutoka Geita imetwaa ubingwa kwa kuifunga timu ya Tabora magoli mawili kwa moja. Mashindano haya ambayo yalihusisha timu kutoka mikoa
June 25, 2024

Tanzania’s Health Vision: Stronger Future Assured

Ministry of Health Secretary Dr . John  Jingu at a seminar held in  Dodoma City. reaffirmed the critical role of his ministry in shaping Tanzania ‘healthcare landscape for the upcoming fiscal year 2024/25 The seminar, attended by senior ministry officials, focused on
June 25, 2024
1 249 250 251 252 253 347