Dark
Light

Health - Page 77

Ufumbuzi Unatakiwa kwa Mtihani wa Ufamasia

Katika tukio la kusikitisha, robo tatu ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kuomba leseni ya ufamasia wameshindwa kupita. Kati ya wanafunzi 200 waliofanya mtihani, 184 wamefeli, ambayo ni idadi kubwa sana. Hali hii imesababisha wasiwasi mkubwa miongoni mwa wadau, ambao wanaitaka iangaliwe upya.
May 22, 2024

Mbunge Waitara Akataa Ushoga Bungeni

Mjadala wa bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ulioendelea Bungeni jijini Dodoma ulikuwa na mkondo wa kigeni baada ya Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mhe. Mwita Waitara, kuelezea msimamo wake kuhusu suala la ushoga…..   Soma zaidi;British Soldiers In Kenya Have
May 18, 2024

Takwimu 2014-2023 Watumiaji wa Bangi na Mirungi

Operesheni na ukamataji uliofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini ilifanikiwa kukamata dawa za kulevya za mashambani aina ya bangi na mirungi pamoja na dawa za viwandani aina ya heroin, cocaine, methamphetamine na dawa tiba zenye asili ya kulevya kama
May 17, 2024

Sharp Increase in Mental Health Patients

The number of patients suffering from mental health disorders has significantly risen over the past year, according to a report presented by the Minister of Health, Ummy Mwalimu, during the budget session for the year 2024/2025 in Dodoma. According to the report,
May 14, 2024

Government Initiates Health Workforce Expansion.

The Ministry of Health has planned to implement 10 priorities using 86 interventions estimated to cost a total of TZS 1,311,837,466,000 in the upcoming fiscal year 2024/25. This budget will cover regular expenditures, income, and various development projects for that year. The
May 13, 2024

Tanga Winners Of The Health Competition 2023

On May 11, 2024, the results of the 2023 Health and Environmental Sanitation competition were officially announced by the Ministry of Health in Tanzania. The purpose of these competitions was to promote and recognise efforts to improve health and environmental conditions in
May 11, 2024
1 75 76 77 78 79 88