Dark
Light

Politics - Page 352

Brics Reshapes Global Economy Beyond Dollar

For nearly eight decades, the United States dollar has stood at the center of global finance, dominating international trade, energy markets and central bank reserves. But a new financial contest is emerging as BRICS nations push to build alternative systems that could
July 25, 2026

TAMISEMI Yaomba Bunge Kuidhinisha Shilingi Tril.10.125

Ofisi ya Rais – TAMISEMI,  imeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125 kwa taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya trilioni
April 16, 2024

Ripoti Ya CAG, Upigaji Bado Upo

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, imeonesha kuwa ununuzi na usimamizi wa mikataba katika mamlaka 35 za serikali za mitaa wa jumla ya Sh. bilioni 4.22 ulifanyika bila kuitisha nukuu za ushindanishi wa bei. Aidha, mamlaka 16 za serikali
April 16, 2024

Rais Samia Atoa Fedha Za Dharura Wizara Ya Ujenzi

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipatia Wizara ya Ujenzi fedha za dharura ili kusaidia kufanya ukarabati kwenye maeneo ambayo mawasiliano ya barabara yamekatika kutokana na mvua za
April 15, 2024

CCM Lobbies For Release of 400m For Water Project

The ruling party-Chama Cha Mapinduzi (CCM)’s Secretary General, Ambassador Emmanuel Nchimbi working tour in Nkasi District has fast tracked the release of 400m/- that was derailing the completion of a grand water project seeking to end water woes in the area. At
April 15, 2024

DK.Mwinyi Asisitiza Kudumisha Muungano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano, kuuendeleza, kuudumisha na kuimarisha zaidi ili kuzidi kunufaika kwa dhamira ile ile ya Waasisi wa Taifa letu. Rais Dk.Mwinyi ameeleza kuwa umoja wa Watanzania unazidi
April 14, 2024
1 350 351 352 353 354 381