Dark
Light

Entertainment, Arts & Culture - Page 14

Saida BOJ Aibua Mjadala Mkali Nigeria

Saida BOJ, mshawishi maarufu wa mitandao ya kijamii nchini Nigeria, amezua gumzo kubwa kufuatia kauli yake tata kuhusu wanawake kuwajaribu wanaume kiuchumi. Katika video aliyochapisha hivi karibuni, Saida aliwashauri wanawake kuwapeleka wanaume katika majaribio ya kifedha kwa kuwatumia bili ndani ya saa
June 5, 2024

Msinitegemee Staki pressure.

Bien-Aimé Baraza, mwanachama wa kundi maarufu la Sauti Sol, alitoa kauli ya kushangaza kuhusu muziki wa Kenya kwenda kimataifa. Akieleza mtazamo wake kupitia mahojiano  yake na mwana Habari  , Bien alisema, “Msinitegemee Staki pressure. ” Kauli hii inaonyesha kuchoshwa kwake na matarajio
June 3, 2024
1 12 13 14 15 16 23