Breaking News
Breaking News
Dark
Light

editor

Miti Milioni 266 Yapandwa Tanzania Bara

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo, ametangaza kuwa miti milioni 266 imepandwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara hadi kufikia Machi 2024. Akiwa bungeni jijini Dodoma leo, Juni 10, 2024, Dkt.
June 10, 2024

Vita Ya Al-Shabaab Na Somalia Yaondoka Na Vifo Vya Watu

Wakaazi wanasimulia milipuko iliyosikika huku kundi la wanamgambo la Al-Shabaab likidai kuhusika na shambulio la Ceeldheer. Kikosi cha Somali kimekuwa kikipigana na wanamgambo wa Alshabab kwa zaidi ya miaka 16. Serikali ya Somalia ilisema wanajeshi wake watano walikufa katika vita, huku wakiwaua
June 10, 2024

Gov’t To Interview 158,902 Refugees Next Year

The Government’s has announced the commencement of a special program next year to interview 158,902 refugees residing in various camps in the country, including Nduta, Nyarugusu, and those sheltered in Ulyankulu, Katumba, and Mishamo settlements as well as villages in the Kigoma
June 10, 2024

Wananchi Watakiwa Kuweka Akiba Sehemu Salama

Serikali imewataka wananchi kuweka akiba ya fedha zao kwa kuwa akiba ni sehemu mojawapo ya mapato ambayo mwananchi, mfanyabiashara au mjasiriamali anaweza kuhifadhi sehemu salama kwa ajili ya kutimiza malengo aliyojiwekea. Akitoa Elimu kwa Wananchi wa Kijiji cha Muze Wilaya ya Sumbawanga
June 9, 2024

Walimu Watafanya Mtihani Ili Kupata Ajira

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, ametangaza mkakati mpya wa utekelezaji wa Sera ya Elimu nchini ambao utahitaji walimu wapya wanaotafuta ajira kufanya mtihani maalum ili kuthibitisha uwezo wao. Prof. Mkenda aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi
June 8, 2024
1 59 60 61 62 63 117