Dark
Light

editor

Wataalam Wapanga Mikakati Sekta ya Posta

Wataalam kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) wametakiwa kuandaa mikakati madhubuti ya kukabiliana na changamoto zinazokabili sekta ya posta. Wito huu umetolewa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dk. Mzee Suleiman Mndewa, wakati wa
June 3, 2024

Msinitegemee Staki pressure.

Bien-Aimé Baraza, mwanachama wa kundi maarufu la Sauti Sol, alitoa kauli ya kushangaza kuhusu muziki wa Kenya kwenda kimataifa. Akieleza mtazamo wake kupitia mahojiano  yake na mwana Habari  , Bien alisema, “Msinitegemee Staki pressure. ” Kauli hii inaonyesha kuchoshwa kwake na matarajio
June 3, 2024

Mwakinyo Awaomba Msamaha Mashabiki Zake

Sakata la pambano la Bondia Hassan Mwakinyo na Patrick Allotey kutoka Ghana limemalizika rasmi baada ya wawili hao kuzichapa usiku wa kuamkia leo. Mwakinyo ameshinda pambano hilo lilofanyika Dar es salaam kwa TKO baada ya Allotey kushindwa kuendelea na pambano raundi ya
June 2, 2024

HIV Prevalence Soars in Tanzania

HIV incidences among young girls aged 15-24 years have alarmingly doubled, according to the Tanzania Commission for AIDS (Tacaids). According to statistics, HIV infections among girls in this age group have increased from 14% in the 2016/17 period to 30% in 2022/23.
June 2, 2024

Walimu Biharamulo Wapewa Elimu ya Fedha

Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha imetoa elimu kwawalimu wa Shule za Msingi, Sekondari na Wakuu wa Idara za Elimu na kuwaelimisha kuhusu masuala ya fedha ikiwemo kujiepusha na mikopo isiyo salama. Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa St. Clara, wilayani
June 2, 2024
1 136 137 138 139 140 236