Dark
Light

admin

Mkutano wa Baraza La Mawaziri EAC Waanza Leo

Mkutano 33 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri linaloshughulikia masuala ya Afrika Mashariki na Mipango umeanza leo tarehe 3 Juni 2024 jijini Arusha. Mkutano huo wa siku tano kuanzia Juni 3-7, 2024 umeanza kwa Ngazi ya Wataalam na baadaye utafuatiwa …
June 3, 2024

Matokeo ya robo fainali Mkondo wa kwanza

Ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa hatua ya robo fainali mkondo wa kwanza umemalizika jana kwa timu nane kumenyana kwenye viwaja tofauti. Matokeo ya michezo ni Timu ya Kiduli FC iliibuka na ushindi wa magoli mawili kwa moja dhidi …
December 14, 2023

Makamba akagua Ujenzi Ofisi za Wizara Mtumba

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi za Wizara unaoendelea katika mjini wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma. Lengo la kutembelea mradi huo ni kujionea hatua iliyofikiwa katika …
December 14, 2023

Russian GDP growth to hit 3.5% – Putin

The Russian economy has shown strength and stability in the face of outside pressure, with GDP expected to reach 3.5% this year, President Vladimir Putin stated on Thursday. According to Putin, who is holding his annual press conference in Moscow, …
December 14, 2023

Mchengerwa awataka ma RMO kutoka ofisini

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya waliokabidhiwa magari ya usimamizi shirikishi kutoka ofisini na kwenda kuwahudumia wananchi. Mchengerwa ameyasema hayo leo Desemba 14, 2023 …
December 14, 2023

ADVERT