Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Vita Ya Mfungaji Bora Ligi Kuu Yapamba Moto.

Wachezaji hao amabo waliiumiza sana akili ya Kocha wa zamani wa Young Africans Nasserdine Bin Nabi kucheza pamoja kutokana na ubora na udhaifu wao pindi walipokuwa pamoja Katika klabu hiyo ,Msimu Huu wamekuwa na vita vikali katika idara ya upachikaji Mabao.
May 6, 2024
by
Ile vita ya Mfungaji wa ligi kuu Soka Tanzania Bara dhidi ya Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba Saidoo Ntibazonkinza na Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele Msimu uliopita, Vita iliomalizika Kwa sare ya Wote kulingana magoli (Goli 17)na Kuzua Tafrani na Baadae Wote Kupewq kiatu cha ufungaji Bira ,Sasa Vita hiyo imehamia kwa Mafahari wengine ,Feisal Salum “Fei Toto” Kutokea Azam na Ki Aziz kutokea Young Africans.
Wachezaji hao amabo waliiumiza sana akili ya Kocha wa zamani wa Young Africans Nasserdine Bin Nabi kucheza pamoja kutokana na ubora na udhaifu wao pindi walipokuwa pamoja Katika klabu hiyo ,Msimu Huu wamekuwa na vita vikali katika idara ya upachikaji Mabao.
Soma Zaidi:President Doubles Goal Motivation Package for Simba, Young Africans

Ikiwa tayari ni Mzunguko wa 25, Tayari Wachezaji hawa wamefanikiwa kuoachika mabao 15 ,Huku zikibaki Mechi 5 tu msimu Huu kutamatika.

Wachezaji hawa Licha ya Kuwa ni viungo waushambuliaji, Wamekuwa na Wastani Mzuri wa Upachikaji wa Mabao , Huku Vita hiyo ikikolezwa na Nanafasi ya Msimamo wa Timu Zote mbili , Yanga aikwa nafasi ya Kwanza na Point 65, Huku Azam Akifatia na Alama 57.

Huenda Vita hii ikakosha Hisia za mashabiki na Wapenzi Wa Mpira, Na Endapo Mchezaji wa Azam Feisal Salum “Fei Toto” Atafanikiwa Kuchukua Kiatu Hicho , Itakuwa ni Mara Ya pili kwa Takribani misimu Mitano nyuma mfungaji bora wa Ligi kuu kutoka nje ya Timu ya Simba na yanga, Ikumbukwe Msimu wa 2021/2022 ,Kiatu hicho kilienda kwa Mchezaji George Mpole kutoka Geita Gold alie maliza Msimu na Magoli 16 ,goli moja Mbele Ya Mchezaji wa Young Africans Fiston Mayele.

Je Msimu 2023/2024 Ni nani ataibuka Mfungaji Bora wa Ligi kuu. Je Ni Aziz Ki au Feisal Salum.?

Muda Utaongea17:55

Red Heart

Author

3 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Leaders Call EAC Summit Over Next Secretary General

Outgoing East African Community (EAC) Secretary General Peter Mathuki could

Eight Killed in Ecuador Nightclub Shooting

A quiet Sunday morning in this small coastal town turned