Walimu Biharamulo Wapewa Elimu ya Fedha
Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha imetoa elimu kwawalimu wa Shule za Msingi, Sekondari na Wakuu wa Idara za Elimu na kuwaelimisha kuhusu masuala ya fedha ikiwemo kujiepusha na mikopo isiyo salama. Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa St. …