Wanaosimamia Ujenzi Barabara Ya Kibaoni Kuondolewa
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni – Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni – Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na ujenzi wa mradi huo kusuasua na utekelezaji …