Dark
Light

Sukari

Kampuni ya Simu Ilipewa Kibali cha Kuagiza Sukari

Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, alitoa taarifa muhimu kwa vyombo vya habari kuhusu utaratibu uliotumika kuagiza sukari  nchini ambapo kampuni iliyosajiliwa kuuza simu ilichukua zabuni ya kuagiza bidhaa hiyo, hayo amesema alipokutana na wanahabari jijini Dodoma leo, Ijumaa, Juni 14, 2024,
June 15, 2024