Huduma za Msaada wa Kisheria Zazidi Kuhamasishwa Kimataifa.
Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.Mwanaasha Khamis Juma ametoa wito wa upanuzi wa huduma za msaada wa kisheria kimataifa ili kufikia jamii za vijijini na zilizotengwa. Matamshi yake yalitolewa wakati wa kongamano la Wiki ya Msaada wa Kisheria, likosisitiza …