Dark
Light

Morogoro Regional Referral Hospital

Dereva Shabiby Atuhumiwa Kusababisha Ajali majeruhi 22

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva wa basi la kampuni ya Shabiby, Sadick Marugul, akituhumiwa kusababisha ajali iliyojeruhi watu 22 mapema leo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP. Alex Mkama, amesema ajali hiyo imetokea katika eneo la Kihonda kwa
May 25, 2024