Miti Milioni 266 Yapandwa Tanzania Bara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo, ametangaza kuwa miti milioni 266 imepandwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara hadi kufikia Machi 2024. Akiwa bungeni jijini Dodoma leo, Juni 10, …