Dark
Light

Rais Dk.Mwnyi Aifariji Familia ya Lowassa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema amewahi kufanya kazi na Hayati Edward Lowassa kwa vipindi tofauti katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya awamu ya tatu na awamu ya nne.
February 13, 2024
by

Amesema taarifa ya msiba huu ameipokea kwa masikitiko makubwa, pia anatoa pole kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wananchi wote kwa ujumla.

Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo alipofika nyumbani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, akiwa na Mama Mariam Mwinyi, kwa lengo la kuwafariji wanafamilia wa marehemu akiwemo Mama Regina Lowassa, Masaki, Jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Februari 2024.

Credit:Ikulu habari

Author

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Vacate flood-prone areas, Samia says

PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed all citizens to leave

Iran Rejects Negotiations With United States And Israel

Iran’s parliamentary leadership has ruled out the possibility that the