Dark
Light

Tanzania

Latest

Msinitegemee Staki pressure.

June 3, 2024
Bien-Aimé Baraza, mwanachama wa kundi maarufu la Sauti Sol, alitoa kauli ya kushangaza kuhusu muziki wa Kenya kwenda kimataifa. Akieleza mtazamo wake kupitia mahojiano  yake na mwana Habari  , Bien alisema, “Msinitegemee Staki pressure. ” Kauli hii inaonyesha kuchoshwa kwake na matarajio

Mwakinyo Awaomba Msamaha Mashabiki Zake

June 2, 2024
Sakata la pambano la Bondia Hassan Mwakinyo na Patrick Allotey kutoka Ghana limemalizika rasmi baada ya wawili hao kuzichapa usiku wa kuamkia leo. Mwakinyo ameshinda pambano hilo lilofanyika Dar es salaam kwa TKO baada ya Allotey kushindwa kuendelea na pambano raundi ya

HIV Prevalence Soars in Tanzania

June 2, 2024
HIV incidences among young girls aged 15-24 years have alarmingly doubled, according to the Tanzania Commission for AIDS (Tacaids). According to statistics, HIV infections among girls in this age group have increased from 14% in the 2016/17 period to 30% in 2022/23.

Walimu Biharamulo Wapewa Elimu ya Fedha

June 2, 2024
Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha imetoa elimu kwawalimu wa Shule za Msingi, Sekondari na Wakuu wa Idara za Elimu na kuwaelimisha kuhusu masuala ya fedha ikiwemo kujiepusha na mikopo isiyo salama. Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa St. Clara, wilayani
1 532 533 534 535 536 697